With designer_bby we cover all the Technology updates around the Globe, Mobile, Computer, Hardware, Software products specification and Genuine Review.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, March 24, 2018

JINSI YA KUFIX invalid IMEI /null IMEI BAADA YA KUFLASH SIMU YENYE CHIPU YA MTK (Mediatek)

Baada ya kuflash simu yako piga *#06# ili kuangalia kama IMEI ipo sahihi, kuna baadhi ya simu baada ya kuflash kwenye upande wa IMEI inakuletea invalid IMEI au null IMEI. Ukigundua tatizo hili fanya yafuatayo

  • Download MTK Engineering mode App kutoka playstore. 
  • Ifungue na uende kwenye option ya "MTK settings" 
  • Baada ya hapo utaona neno la juu limeandikwa "Telephony" slide kutoka kulia kwenda kushoto utaona neno la juu limeandikwa "Connectivity
  • Tafuta "CDS Information" na uclick hapo 
  • Chagua "Radio Information
  • Chagua "Phone 1" ili kurudisha IMEI ya SIM 1 
  • Then click neno "AT+" alafu mbele ya neno hilo andika AT+EGMR=1,7,"namba ya IMEI unayotaka Kuirudisha" au ufungua simu yako na utoe betri then copy IMEI namba pembeni ili uje uiandike kwenye command. Mfano AT+EGMR=1,7,"358765008365495" baada ya hapo bonyeza batani iliyoandikwa "SEND AT COMMAND" kama itakubali utaambiwa " SENT OK" na kama imekataa itakuambia "SENT FAILED" 
  • kama ikikataabjaribu kuacha nafasi kati ya neno AT+ EGMR=1,7"IMEI namba" tuma tena command then back na uchague "Phone 2" 
  • Weka command hii AT+EGMR=1,10"IMEI namba ikiwa ni tofauti na IMEI ya SIM 1" then bonyeza batani ya "SEMD AT COMMAND"
  • Restart simu yako 
  • Ikiwaka piga *#06# kuangalia IMEI 
  • natumaini IMEI itarudi kama mwanzo
Note: Ubadilishaji wa IMEI ni kinyume cha sheria. 

1 comment:

  1. Jinsi Ya Kufix Invalid Imei /Null Imei Baada Ya Kuflash Simu Yenye Chipu Ya Mtk (Mediatek) - Designer_Bby >>>>> Download Now

    >>>>> Download Full

    Jinsi Ya Kufix Invalid Imei /Null Imei Baada Ya Kuflash Simu Yenye Chipu Ya Mtk (Mediatek) - Designer_Bby >>>>> Download LINK

    >>>>> Download Now

    Jinsi Ya Kufix Invalid Imei /Null Imei Baada Ya Kuflash Simu Yenye Chipu Ya Mtk (Mediatek) - Designer_Bby >>>>> Download Full

    >>>>> Download LINK

    ReplyDelete

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages