With designer_bby we cover all the Technology updates around the Globe, Mobile, Computer, Hardware, Software products specification and Genuine Review.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, March 21, 2018

JINSI YA KUFUTA AKAUNTI YA FACEBOOK

Facebook ni mtandao mkubwa zaidi wa kijamii ambao unafikisha wateja takribani Million 1.4 kwa siku. Kwa uwezekano kwamba hutatumia tena facebook unaweza kufuta akaunti yako ya facebook.

Katika hali nyingine unataka kuepuka kutumia facebook kwa sababu ya kuwa addictive.

HATUA ZA KUFANYA ILI UWEZE KUFUTA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK

Watu wengi wanaweza kufikiri kuwa ni vigumu kufuta akaunti zao za facebook kwa kudumu. Makala hii itasaidia watu ambao hawafahamu jinsi ya kufuta akaunti zao.

Kwanza nakuwezesha kuona tofauti kati ya kuzuia (DEACTIVE) na kufuta (DELETING). Lakini ukifuta akaunti yako kwa kudumu itahakikisha kuwa huwezi kuipata akaunti yako tena.
Facebook itachukua siku 14 ili kufuta vitu vyote ulivyokuwa umetuma kama picha, sasisho za hali n.k.

DEACTIVE AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK


  • Ingia kwenye akaunti yako ya facebook na uchague Menyu ya akaunti upande wa juu wa ukurasa
  • Sasa chagua Mipangilio (Setting) na kisha Usalama kwenye safu ya kushoto
  • kisha chaga Dhibiti akaunti yako, ufuate maelekezo na bonyeza mwisho hakikisha
DELETING AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK

  • Ingia kwenye akaunti yako ya facebook
  • bonyeza hapa kufuta Bonyeza hapa kufuta akaunti yako
  • hiyo link itakudirect moja kwa moja hadi kwenye akaunti yako then utatakiwa uingize password yako ili ukubali kufuta 
  • baada ya hapo utakuwa umefanikiwa kufuta akaunti yako
UKIFIKISHA SIKU 14 BAADA YA KUFUTA AKAUNTI YAKO TUMIA AKAUNTI NYINGINE THEN TAFUTA JINA LAKO ULILOKUWA UNATUMIA KAMA BADO LIPO.

1 comment:

  1. Jinsi Ya Kufuta Akaunti Ya Facebook - Designer_Bby >>>>> Download Now

    >>>>> Download Full

    Jinsi Ya Kufuta Akaunti Ya Facebook - Designer_Bby >>>>> Download LINK

    >>>>> Download Now

    Jinsi Ya Kufuta Akaunti Ya Facebook - Designer_Bby >>>>> Download Full

    >>>>> Download LINK

    ReplyDelete

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages