With designer_bby we cover all the Technology updates around the Globe, Mobile, Computer, Hardware, Software products specification and Genuine Review.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, March 20, 2018

Root simu yako kwa Patching boot.img kwa kutumia magisk apk

Kama ulishawahi kujaribu kuroot simu yako kwa kutumia Kingroot, Kingoroot, iRoot n.k lakini haukufanikiwa kuroot simu yako.
Njia zifuatazo zitakuonyesha jinsi ya kuroot simu yako kirahisi kwa kutumia faili la Stock Rom (original) boot.img na application ya Magisk Manager.

DISCLAIMER (ILANI)

  • Kabla ya kuanza nakushauri ufanye Backup Data zako
  • Sitawajibika juu ya kitu chochote ambacho kinaweza kutokea kwenye simu yako kwa kutumia mafunzo haya 
  • Fanya kwa Hatari yako mwenyewe!
MAHITAJI
  • Stock boot.img ya simu yako ikiwa sawa na Build id inayoendana na kifaa chako.
  • Toleo jipya la application ya Magisk Manager. Bonyeza hapa kudownload DOWNLOAD MAGISK MANAGER
Sasa utakuwa una mahitaji yote ambayo yanatakiwa ili ufanikishe kuroot simu yako 

JINSI YA KUROOT
  1. Install Magisk Manager kwenye simu yako 
  2. Hakikisha kama intaneti connection yako kama ipo vizuri
  3. Copy faili la boot.img kwenye hifadhi ya simu yako au SDcard
  4. Fungua Magisk Manager, baada ya kufungua utaona ujumbe unaosema install magisk manager, chagua install
  5. chagua faili la boot.img ambalo umelicopy kwenye hifadhi ya simu yako au SDcard
  6. Subiri ,Magisk itaanza kudownload faili linalotakiwa likiwa Patched_boot.img  
  7. ikiwa tayari faili jipya Patched_boot.img litapatikana ndani ya faili la Magisk (linapatikana kwenye hifadhi ya simu yako auSDcard)
  8. unaweza ukabadili jina la Patched boot.img na kuwa boot.img na tumia faili hilo kuflash simu yako 
JINSI YA KUFLASH SIMU YAKO KWA KUTUMIA Patched boot.img

kwa simu zenye chip za MTK
  • Copy Patched boot.img na Scatter file na uweke kwenye faili moja
  • fungua SP Flash Tool 
  • Bofya scatter loader na ufungue scatter file
  • Bonyeza Download batani then unganisha simu yako na PC (Hakikisha PC yako ina VCOM driver), subiri faili la kuboot liflashiwe 
  • Ukiona tiki ya kijani basi itakuwa tayari 
  • boot simu yako
Download root checker kuangalia kama kifaa chako kitakuwa kimerootiwa.


1 comment:

  1. Root Simu Yako Kwa Patching Boot.Img Kwa Kutumia Magisk Apk - Designer_Bby >>>>> Download Now

    >>>>> Download Full

    Root Simu Yako Kwa Patching Boot.Img Kwa Kutumia Magisk Apk - Designer_Bby >>>>> Download LINK

    >>>>> Download Now

    Root Simu Yako Kwa Patching Boot.Img Kwa Kutumia Magisk Apk - Designer_Bby >>>>> Download Full

    >>>>> Download LINK

    ReplyDelete

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages